๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Mafia Island ยท Kilindoniโ˜Ž +255 768 423 167   |   24/7 Support   |  

Jiunge kama Dereva

Boda Boda, Bajaj na madereva wa magari. Usajili lazima uthibitishwe na admin.

Vigezo vya Kujiunga

โœ” Leseni halali ya udereva
โœ” Kitambulisho
โœ” Gari au pikipiki yenye usajili na bima
โœ” Taarifa za mmiliki wa chombo
โœ” Namba ya simu na taarifa za malipo
โœ” Uthibitishaji wa Mafia Ride

Makubaliano ya Mapato

Mteja analipa Mafia Ride kupitia App pekee. Mafia Ride inakata 10% ya kila safari iliyolipiwa; dereva anastahili 90%.

Hakuna dereva anayepokea Cash kutoka kwa mteja. Ratiba ya malipo, marejesho na migogoro itaelezwa kwenye mkataba wa dereva.

Fomu ya Dereva

Jina
Simu
Aina ya chombo
Namba ya leseni
Namba ya usajili wa gari