Masharti Muhimu ya Huduma
Malipo na Kamisheni
Malipo yote ya wateja yatafanyika kupitia Mafia Ride pekee. Dereva hataruhusiwa kupokea malipo ya Cash kwa safari iliyowekwa kupitia mfumo. Kwa kila nauli iliyolipiwa, Mafia Ride itakata kamisheni ya 10% na dereva atastahili 90% kabla ya marejesho au marekebisho yanayokubalika.
Uthibitishaji
Madereva wataruhusiwa kufanya kazi baada ya kuthibitishwa na admin. Taarifa za leseni, usajili na bima zitahakikiwa.
Kumbuka
Huu ni muhtasari wa preview; mkataba kamili, sera ya kughairi, marejesho na faragha vinahitaji kukamilishwa kabla ya uzinduzi.